Rais Samia Suluhu Hassan, amesema wakati mwingine dini na siasa vinakinzana.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa wakati mwingine dini na siasa vinaendana lakini pia wakati mwingine ni vitu vivyokinzana ambapo amesisitiza kwamba vyote hivyo vinatakiwa kutazamwa kwa umakini. Rais Samia ametoa kauli hiyo leo Julai 8, 2021, mkoani Morogoro aliposhiriki Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT),